Muda wa Kazi za Mikono Umeisha. Karibu Kwenye Wakati Ujao wa Biashara.
Bega kwa Bega Hadi Ushindi
Komesha siku kucha kujibu wateja, kufuatilia deliveries, au kudai hela. Mteja Bot anaendesha kazi hizi zote ili uweze kusimamia mambo mengine ya biashara yako.
Uwezo wa Mteja Bot Wako
- 01
Komesha Simu za 'Upo Wapi?' — Fuatilia Dereva na Mzigo Live Kwenye Ramani Pamoja na Mteja Wako.
Bot wako anawasha ramani 📍 inayowaonyesha wewe na mnunuzi wako chombo kikitembea live hadi mlangoni.
- 02
🚀 Kamata Kila Mteja Saa 24/7 — Jibu Maswali na Pokea Oda Kupitia WhatsApp Kiotomatiki! 🤖💰
Usikose mauzo kwa sababu umelala.
- 03
Rudisha Fedha Zilizokwama Bila Stress
💸 Mteja Bot anakusanya madeni kwa niaba yako na kuingiza fedha moja kwa moja kwenye Simu 📱 au Benki 🏦 yako bila stress! 🚀🤖